FUATILIA KONGAMANO LA KUJADILI NAMNA BORA YA KUHUISHA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
Wadau mbali mbali wakifatilia kwa umakini mjadala wa kuhuisha mchakato unaohusu katiba mpya, mjadala huu unaendeshwa na taasisi ya kisheria @TanganyikaLaw jijini Arusha.
KATIBA ni sheria au kanuni zinazoainisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shuguli zao. KWA UPANDE WA WANANCHI, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonyesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huainisha haki za msingi za wananchi. Kuna aina kuu mbili za Katiba (a) Katiba isiyo ya maandishi (ya kimapokeo) (b) Katiba ya maandishi.
Wadau mbali mbali wakifatilia kwa umakini mjadala wa kuhuisha mchakato unaohusu katiba mpya, mjadala huu unaendeshwa na taasisi ya kisheria @TanganyikaLaw jijini Arusha.
Comments
Post a Comment