HISTORIA INABAKI KUWA MWALIMU WA KILA JAMBO
Mstali wa Mbele kuanzia kushoto ni Salmin Amour,Ali Mzee Ali,Hassan Nassoro Moyo,Edward Moringe Sokoine,Aboud Jumbe,Juias Kambarage Nyerere,Rashidi Mfaume Kawawa,Cleopa Msuya na Kingunge Ngombale Mwiru,
Mstari wa Nyuma ni Abdalla Said Natepe,Salimu Ahamed Salimu,Getruda Mongera,Seif Sharif Hamad, Paul Sozigwa,Daudi Mwakawago,Moses Nnauye na Alfred Tandau..Wazee wetu hawa walilitumikia Taifa hili wakati huo likiwa Changa kabisa
Comments
Post a Comment