Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza katika Mkutano wa Uwekezaji na Wafanyabiashara wa Marekani Jijini Washington

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyabiashara wa Marekani kuhusiana na Sekta ya Uwekezaji nchini Tanzania katika Mkutano uliofanyika Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais Mtendaji na Mkuu wa Mambo ya Kimataifa wa Chemba ya Biashara ya Marekani Myron Brilliant (wa pili kutoka kushoto), Balozi wa Tanzania nchini Marekani Dkt. Elsie Kanza (wa kwanza kushoto) kabla ya kuanza Mkutano wa Uwekezaji na Wafanyabiashara Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Wakfu wa Big Win Philanthropy Jamie Cooper pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

 



 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Katibu wa Biashara Gina Raimondo Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo pamoja na ujumbe wake Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo kabla ya mazungumzo yao Jijini Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu wa Kilimo wa Marekani Thomas Vilsack pamoja na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo, Washington nchini Marekani tarehe 13 Desemba, 2022.

 

Comments

Popular posts from this blog

Historia ya Vita vya Majimaji inaonesha kuwa awali walikamatwa machifu 48 na baadaye kukamatwa wengine ambapo idadi ya machifu walionyongwa na kuzikwa katika kaburi moja ilifikia 66.

UTARATIBU WA USAFI WA MAZINGIRA NAO UWEKWE KWENYE KATIBA?SWALI LA MDAU KWENYE FORUM YA KATIBA YA WATU

Mjadala kuhusu umuhimu wa elimu ya Katiba na uelewa wa sheria kwa wananchi unajumuisha masuala muhimu yanayohusu ujenzi wa demokrasia, utawala bora, na usawa katika jamii. Hapa kuna taarifa na tathmini ya kina juu ya mjadala huo: