RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA AFRIKA NA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA MASUALA YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani (U.S Afirica Leaders Summit) wakati wakijadili masuala ya Kilimo, Usalama wa Chakula na Uzalishaji wa Chakula, uliofanyika katika ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani  Mhe. Joe Biden pamoja na Viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika na Marekani kabla ya kuanza kwa ufungaji wa mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022

 

Comments

Popular posts from this blog

Historia ya utawala wa Kijerumani katika eneo la Tanganyika inahusisha kipindi cha ukoloni wa Kijerumani ambacho kilidumu kati ya mwaka 1885 na 1916

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO MHE. FÉLIX ANTOINE TSHISEKEDI TSHILOMBO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 23 OKTOBA, 2022