TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MAJINA YA WALIOKUWA MAKAMISHINA WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MPYA YA TANZANIA APRIL 6,2012.

Rais Jakaya Kikwete akitangaza majina ya wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba . Katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam April 6,2012 katika hafla iliyoshuhudia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal, Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Iddi na Waziri wa Sheria na Katiba Mama Celina Kombani na badhi ya wahariri wa vyombo vya habari mbali mbali.

April 6,2012 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete alitangaza rasmi majina ya wajumbe walioteuliwa katika Tume ya Mabadiliko ya Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Kikwete aliyataja majina hayo mbele ya wahariri wa vyombo mbali mbali vya habari  Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais Kikwete alisisitiza kwamba kuanza kazi itatangazwa rasmi mara baada ya wajumbe wote kujulishwa uteuzi wao na baadae kuapishwa. Ila kisheria tume ilitakiwa iwe imekamilisha kazi ndani ya miezi 18

 

TUME YA MABADILIKO YA KATIBA

(Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83,

Toleo la 2012, Vifungu 5, 6 na 7)

______________________________

UONGOZI WA JUU

1.Mhe. Jaji Joseph Sinde WARIOBA

– Mwenyekiti

2.Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu, Augustino

RAMADHANI

– Makamu Mwenyekiti

 

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – BARA

1.Prof. Mwesiga L. BAREGU

2.Nd. Riziki Shahari MNGWALI

3.Dr. Edmund Adrian Sengodo MVUNGI

4.Nd. Richard Shadrack LYIMO

5.Nd. John J. NKOLO

6.Alhaj Said EL- MAAMRY

7.Nd. Jesca Sydney MKUCHU

8.Prof. Palamagamba J. KABUDI

9.Nd. Humphrey POLEPOLE

10.Nd. Yahya MSULWA

11.Nd. Esther P. MKWIZU

12.Nd. Maria Malingumu KASHONDA

13.Mhe. Al-Shaymaa J. KWEGYIR (Mb)

14.Nd. Mwantumu Jasmine MALALE

15.Nd. Joseph BUTIKU

 

WAJUMBE KUTOKA TANZANIA – ZANZIBAR

1.Dkt. Salim Ahmed SALIM

2.Nd. Fatma Said ALI

3.Nd. Omar Sheha MUSSA

4.Mhe. Raya Suleiman HAMAD

5.Nd. Awadh Ali SAID

6.Nd. Ussi Khamis HAJI

7.Nd. Salma MAOULIDI

8.Nd. Nassor Khamis MOHAMMED

9.Nd. Simai Mohamed SAID

10.Nd. Muhammed Yussuf MSHAMBA

11.Nd. Kibibi Mwinyi HASSAN

12.Nd. Suleiman Omar ALI

13.Nd. Salama Kombo AHMED

14.Nd. Abubakar Mohammed ALI

15.Nd. Ally Abdullah Ally SALEH

 

UONGOZI WA SEKRETARIETI

1.Nd. Assaa Ahmad RASHID

– Katibu

2.Nd. Casmir Sumba KYUKI

– Naibu Katibu

 

 

Comments

Popular posts from this blog

Historia ya utawala wa Kijerumani katika eneo la Tanganyika inahusisha kipindi cha ukoloni wa Kijerumani ambacho kilidumu kati ya mwaka 1885 na 1916