UTARATIBU WA USAFI WA MAZINGIRA NAO UWEKWE KWENYE KATIBA?SWALI LA MDAU KWENYE FORUM YA KATIBA YA WATU
[05:23, 28/06/2023] A: Utaratibu wa usafi wa Mazingira nao uwekwe kwenye katiba? Nimekuwa nikitatizika sana na usafi wa mitaa yetu. Hakuna jitihada zozote zinazoongelewa kuhusu usafi wa mazingira yetu. Inasikitisha sana kwamba tupo na ngazi za uongozi kutoka kwenye mitaa lakini hakuna utashi wa kuhimiza watu kusafisha mazingira. Mitaa yote Dar es salaam haisafishwi kila wakati inatoa harufu mbaya. Utakuta Mwenyekiti wa mtaa yupo hawezi hata kuhimiza vijana wakachimbua hiyo mitaro na kusafisha mazingira. Mfano: Dodoma maeneo ya Airport sehemu ambayo inamkusanyiko mkubwa wa watu Chako ni Chako mitaro inatoa harufu mbaya miezi yote 12. Sababu za kutokea kwa jambo hilo Hakuna political will Hapa naongelea utashi wa kisiasa. Hakuna viongozi wenye utashi wa kisiasa maana hakuna mwongozo wa kuwaelekeza kuhamasisha watu kufanya usafi. Matokeo yake imekuwa ni tabia na watu wanaona hilo ni jambo la kawaida. Lazima kuwepo na miongozo kikatiba itakayoweka misingi ya usafi wa mazi...
Comments
Post a Comment