Posts

Showing posts from February, 2024
Image
  TATHMINI YA MJADALA JUU YA CHANGAMOTO ZA UTOAJI WA HUDUMA ZA UMMA NA UWAJIBIKAJI NCHINI UNAOENDELEA KATIKA FORUM YA WATSAP YA KATIBA YA WATU KUANZIA TAREHE 6 FEB 2024     Jumla ya Wajumbe 10024 wanashiriki katika majadiliano haya   Mtazamo wa Jumla : Mjadala huu ulikuwa na umuhimu mkubwa kwa kutoa mwangaza juu ya changamoto kubwa zinazokabili utoaji wa huduma za umma na kiwango cha uwajibikaji nchini. Washiriki walitoa maoni yenye uzito, wakifichua kasoro katika mifumo ya sasa na kutoa wazo la umuhimu wa kuimarisha uwazi, ushiriki wa wananchi, na kuboresha mifumo ya malalamiko. Changamoto Zilizogusiwa: Uwajibikaji wa Serikali: Washiriki walisisitiza hitaji la serikali kutekeleza majukumu yake ya kutoa huduma bora kwa wananchi. Changamoto zilizoelezwa zinaonyesha hali ya kutokuwepo kwa uwajibikaji wa kutosha. Mifumo ya Malalamiko: Mjadala ulionyesha kuwa mifumo ya malalamiko iliyopo inakabiliwa na mapungufu m...
Image
    MJADALA JUU YA CHANGAMOTO ZA UTOAJI HAKI, HUDUMA ZA UMMA NA UWAJIBIKAJI NCHINI Sehemu ya pili   Mjadala huu ulilenga kuchambua kwa kina changamoto za utoaji wa huduma za umma na kiwango cha uwajibikaji nchini. Mjadala ulianza na kutoa wazo kuhusu hali ya sasa na ulifungua mlango wa majadiliano kuhusu suluhisho na hatua za kuboresha mfumo wa huduma za umma.   [14:40, 06/02/2024] Gi: Zipo sababu za kushindwa kwa mfumo: Hitilafu za kimfumo zinaweza kutokea kwa sababu mbalimbali, kama vile hitilafu za muundo, hitilafu za kanuni za uendeshaji, kuishiwa kwa nishati(nguvu), matatizo katika Mawasiliano, hitilafu za kibinadamu, na pia mchanganyiko wa mambo yote haya. Suala la rasilimali zisizotosheleza kwenye mfumo, matengenezo/reforms yasiyofaa, au ukiukwaji wa ulinzi wa mfumo mzima. haya yote hupelekea kuleta shida na mfumo kukwama kama sio kufeli kabisa swali langu kwa wadau wote, je hali hii ina athali kiasi gani katika chaguzi zijazo za serika...
Image
  MJADALA JUU YA CHANGAMOTO ZA UTOAJI HAKI, HUDUMA ZA UMMA NA UWAJIBIKAJI NCHINI Sehemu ya Kwanza   Mjadala huu ulilenga kuchambua kwa kina changamoto za utoaji wa huduma za umma na kiwango cha uwajibikaji nchini. Mjadala ulianza na kutoa wazo kuhusu hali ya sasa na ulifungua mlango wa majadiliano kuhusu suluhisho na hatua za kuboresha mfumo wa huduma za umma. [00:23, 06/02/2024] Mzee Ki: Mwenezi anahatari ya kuathirika kisaikolojia kwa anayoyashuhudia kutoka kwa wananchi! Kabla ya mwenezi kuendelea na ziara zake mikoni na wilayani, binafsi ninaona kuna ulazima fulani wa Mh. Rais kulihutubia taifa na kuzungumzia key points kuhusu wateule wake katika kutimiza wajibu wao katika kuwalinda wananchi na kutoa haki. Taasisi za serikali katika mikoa na wilaya hawatimizi wajibu wao kama walivyoapa wakati wa kuapishwa. Yanayoendelea ni very frustrating and despairing! 😔 [00:23, 06/02/2024] Mzee Ki: Pamoja na umuhimu wa Rais kutoa kauli kuhusu haya tunayoshu...

ZAIDI YA WATOTO 200 WAKUTWA WAKIPATIWA MAFUNZO YASIYO NA MAADILI,TAHADHA...

Image

FINAL DRAFT MSLAC DOCUMENTARY

Image