BAADHI YA WAZUNGUMZAJI WA MADA YA "MFUMO WA KISHERIA WA KUHUISHA MCHAKATO WA KUBADILISHA KATIBA" WAKIENDELEA KUTOA HOJA ZAO KWENYE KONGAMANO.

Adv Analilea Nkya '“Katiba lazima Itoe nafasi ya Uchaguzi kuwa huru na kufuata misingi ya democracy lakin kuhakikisha pia vyama vya siasa vinafanya kazi kwa ufasaha”

Katiba yoyote lazima ianze na Neno "Sisi" Hii maana yake ni mamlaka ya wanachi kuamua ni namna gani wanapaswa waongozwe na Maisha Yao yaweje kwa hiyo Katiba sio suala la kupuusa ~ Dr Nshala Rugemeleza

Adv Iddi Mandi ‘Sheria ya kuandika katiba ilipaswa kuwa tofauti na Sheria nyingine ili kuweza kutoa nafasi kubwa ya ushiriki wa wananchi.


Dr Elifuraha Laltaika."Lazima wote tushiriki katika upatikanaji wa Katiba Mpya.Kuwe na Hitaji la Katiba Mpya, Expert body ya kuchanganua mchakato wote, Mkutano maalam wa kikatiba ili kujua wapi pa kurekebisha, pia na Kura ya maamuzi"

 

Comments

Popular posts from this blog

Historia ya utawala wa Kijerumani katika eneo la Tanganyika inahusisha kipindi cha ukoloni wa Kijerumani ambacho kilidumu kati ya mwaka 1885 na 1916

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA CONGO MHE. FÉLIX ANTOINE TSHISEKEDI TSHILOMBO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 23 OKTOBA, 2022