MFUMO WA KISHERIA WA KUHUISHA MCHAKATO WA KUBADILISHA KATIBA “TUJISAHIHI...

"Watu walio hatari sana ni wale ambao  wanafikiri  kuwa  wanajua  kila  kitu, wala hawana haja kujifunza zaidi. Hii ni tabia mbaya ambayo  huzuia  kabisa maendeleo.Sababu moja ambayo ilituzuia sisi Waafrika kuendelea ni majibu ya urahisi kwa matatizo makubwa

TUJISAHIHISHE 1962

Mwal.Julius K.Nyerere

Comments

Popular posts from this blog

Historia ya Vita vya Majimaji inaonesha kuwa awali walikamatwa machifu 48 na baadaye kukamatwa wengine ambapo idadi ya machifu walionyongwa na kuzikwa katika kaburi moja ilifikia 66.

UTARATIBU WA USAFI WA MAZINGIRA NAO UWEKWE KWENYE KATIBA?SWALI LA MDAU KWENYE FORUM YA KATIBA YA WATU

Mjadala kuhusu umuhimu wa elimu ya Katiba na uelewa wa sheria kwa wananchi unajumuisha masuala muhimu yanayohusu ujenzi wa demokrasia, utawala bora, na usawa katika jamii. Hapa kuna taarifa na tathmini ya kina juu ya mjadala huo: