MKUTANO MAALUM WA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI, UKIJADILI NA KUPOKEA MAONI YA MSWADA WA SHERIA ZA UCHAGUZI NA SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA. Baraza la Vyama vya Siasa nchini liliandaa Mkutano Maalum wa kujadili na kupokea maoni ya Wadau juu ya mswada wa Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa ambayo ni matokeo ya mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichoundwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Mgeni Rasmi katika mkutano huu alikuwa Bw. Othman Masoud Othman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Wadau na Washiriki walijulishwa na kuhusu lengo la Mkutano, pamoja na mambo mengine, ilielezwa kuwa ni Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa utakaojadili na kupokea maoni ya mswada wa Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa Kauli mbiu ya mkutano huu Ilikuwa ni “ Toa Maoni Yako Kuimarisha Demokrasia ”. Mara baada ya maelezo haya. Mkutano huu uliratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu kwa kushir
Popular posts from this blog
MKUTANO HUU UMEKUWA WENYE TIJA KWANI MMETOA MAONI KWA KUZINGATIA MASLAHI MAKUBWA YA NCHI YETU - MHE. DOTO BITEKO Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitaungana na watu wengine waliosema hapa nami nitoe shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye kwa Juhudi zake ameweza kuimarisha ustawi wa Demokrasia hapa nchini sambamba na kuimarisha miundombinu ya kiuchumi na kijamii ili kuwaletea maendeleo Watanzania" "Ni ukweli usiopingika kuwa Rais Samia amekuwa mfano wa kuigwa kitaifa na kimataifa kuhakikisha Demokrasia yetu inazidi kustawi na kuifanya Demokrasia yetu kuendeshwa kwa misingi ya haki, utawala bora na kwa mujibu wa sheria tulizojiwekea na bila kusahau mazingira ya watu ambao bila wao Serikali haipati uhalali" "Mkutano huu umekuwa wenye tija na mimi nimekuwa nikiufuatilia kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, mmezungumza mengi kutokana na Ajenda mlizomuwa nazo na ni wazi kabisa wadau waliokuwa wengi wametoa maon
MJADALA WA KINA JUU YA MSWAADA WA KISHERIA UKIJIKITA KWENYE SHERIA ZA UCHAGUZI NA SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA NCHINI TANZANIA Sheria hizi ni muhimu sana kwa utaratibu wa kidemokrasia nchini na zinaathiri moja kwa moja mchakato wa uchaguzi na utendaji wa vyama vya siasa. Kwa kuzingatia hilo, hapa kuna mambo machache ya kuzingatia katika kuzifahamu sheria hizi. Tutazame nini maana ya sheria za Uchaguzi na sheria za Vyama cya siasa. Sheria za Uchaguzi 1. Usajili wa Wapiga Kura, Sheria za uchaguzi zinapaswa kuainisha mchakato wa usajili wa wapiga kura na kuhakikisha uwazi na usawa katika mchakato huo. 2. Mipaka na Madaraka ya Tume ya Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi ina jukumu kubwa katika kusimamia uchaguzi. Sheria inapaswa kutoa miongozo na kuhakikisha uhuru wa tume hiyo na mamlaka yake. 3. Mfumo wa Uchaguzi, Sheria zinapaswa kueleza mfumo wa uchaguzi, iwe ni mfumo wa kupiga kura ya moja kwa moja, uwakilishi, au mfumo mwingine wowote . 4. Uhamasishaji na Elimu ya Mpiga Kura, Sheria in
Comments
Post a Comment