RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DAKT SAMIA SULUHU HASSAN KUZINDUA MKUTANO MAALUM WA SIKU TATU WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NA WADAU WA DEMOKRASIA TAREHE 11 HADI 13 2023 JIJINI DAR ES SALAAM
|  | 
| Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed,akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za msajiliwa Vyama Vya siasa tarihe 9 Septemba 2023 jiji Dar es salaam | 
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed,jijini Dar es Salaam amesema tarehe 11 Septemba mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 
@SuluhuSamia atakuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia nchini.
Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Mohamed Ali Ahmed, leo jijini Dar es Salaam amesema tarehe 11 Septemba mwaka huu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia atakuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia nchini.
Mkutano huo wa siku tatu uliobeba kauli mbiu Imarisha Demokrasia Tunza Amani utafanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Julius Nyerere jijini Dar es Salaam na utafungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi 




 
 
 
Comments
Post a Comment