Umuhimu wa 4R Katika Shughuli za Kisiasa Nchini (Maridhiano – Reconciliation, Ustahamilivu – Resilience, Mageuzi – Reforms na Ujenzi Mpya wa Taifa – Rebuilding)


Na Prof. Moh’d Makame Haji akita hoja na historia ya Tanzania
Mkutano Maalum wa Baraza La Vyama Vya Siasa Unaoshirikisha Wadau Wa Mapendekezo Ya Kikosi Kazi Na Kujadili Hali ya Kisiasa Nchini Terehe 11, 12 na 13 Septemba, 2023 
Kitio Cha Mikutano Julius Nyerere International Conference Centre Dar-Es-Salaam








 Demokrasia ya vyama wananchi kushiriki katika masuala ya uongozi wa nchi ilijitokeza rasmi mwaka 1948. Azimio la Kimataifa la Haki za Binadamu la (Universal Declaracion of Human Rights) ibara ya 21 ambapo wananchi wanaweza kushiriki katika uongozi moja kwa moja au kupitia kwa wawakilishi waliowachagua

Comments

Popular posts from this blog