Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kimeanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023.









 Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kimeanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023. Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika. Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka kwenye NGOs na washiriki 90 wametoka kwenye Taasisi za Kitaifa za masuala ya Haki za Binadamu. Kuanzia tarehe 16 Oktoba, 2023, hadi tarehe 19 Oktoba, 2023, jumla ya washiriki 1,283 wamesajiliwa kushiriki kikao hiki. Washiriki hawa wamegawanyika katika makundi mbalimbali kama ifuatavyo: Aina ya Washiriki Idadi ya Washiriki Taasisi za Kiraia (NGOs) 700 Taasisi za Kitaifa za masuala ya Haki za Binadamu (NHRI) 90 Taasisi za Umoja wa Mataifa 4 Taasisi za Afrika za AU 2 Makamishina na Watumishi wa Kamisheni 39 Washiriki URP 150 Wasaidizi na watoa huduma 298

Comments

Popular posts from this blog

Historia ya utawala wa Kijerumani katika eneo la Tanganyika inahusisha kipindi cha ukoloni wa Kijerumani ambacho kilidumu kati ya mwaka 1885 na 1916