MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA NA WADAU WA DEMOCRASIA
Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za Vyama vya Siasa iliyosomwa kwa mara ya kwanza Bungeni Novemba 10, 2023.
Kauli Mbiu;
" TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA "
MGENI RASMI;
Mhe. Othman Masoud Othman
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
đź—“️ Tarehe 3 na 4 Januari, 2024
đź“ŤUkumbi wa Mikutano wa Mlimani City - Dar es salaam
Comments
Post a Comment