TUME YA KUREKEBISHA SHERIA NI INJINI YA SEKTA YA SHERIA NCHINI
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza na viongozi wa Wizara na watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakati akifungua mafunzo ya siku tatu kwa watumishi hao kuhusu Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma yanayofanyika Jijini Dar es Saalam. Mwenyeketi wa Tume ya kurekebisha Sheria Tanzania, Mhe. Jaji Mstaafu January Msofe, akizungumza wakati akichangia mada katika mafunzo ya siku tatu kuhusu Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma yanayotolewa kwa watumishi wa Tume hiyo yanayofanyika Jijini Dar es Saalam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria, Bi. Marry Makondo akizungumza na viongozi wa Wizara na watumishi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakati akifungua mafunzo ya siku tatu kuhusu Sheria, Taratibu na Kanuni za Utumishi wa Umma yanayofanyika Jijini Dar es Saalam. Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Sheria kwa Umma wa Wizara ya Katiba na Sheria, Griffin Mwakapeje, akichangia mada kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma wakati wa ...